WASHAURI WA MAHAKAMA NA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA TANZANIA
WASHAURI WA MAHAKAMA NA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA TANZANIA
Utoaji haki katika Mahakama na Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya huwa unazitaka baadhi ya taasisi hizo kushirikisha wananchi katika kazi hiyo kwa kupitia Washauri wa Mahakama na Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya. W…
About This Content
Utoaji haki katika Mahakama na Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya huwa unazitaka baadhi ya taasisi hizo kushirikisha wananchi katika kazi hiyo kwa kupitia Washauri wa Mahakama na Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya. Washauri hao, si wataalamu wa sheria na wamekuwa wakitekeleza wajibu huo bila kuwa na mafunzo maalumu, hivyo, kutumia busara zaidi katika utoaji wa maoni yao. Kitabu hiki kina kuelimisha kuhusu sifa, uteuzi na wajibu wa Washauri hao na athari ya kutozingatia maoni yao. Ni mategemeo yangu kuwa, kitabu hiki kitachangia katika kuongeza ufanisi wa utendajikazi wa Washauri wa Mahakama na Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya katika kutoa haki kwa jamii yetu.
Publication Details
| Category | SHERIA ZA TANZANIA, UMILIKI WA ARIDHI NA HAKI ZA WANANCHI |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-67-152-6 |
| Date Published | 2026-08-06 |
| Publication Year | 2016 |
| Pages | 54 |
| Chapters | 4 |
| Language | Swahili |
| Keywords | ARDHI |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader