ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

UTOAJI HAKI MAHAKAMANI

by Al-Muswadiku K. Chamani
Book Purchase + Subscription 2000 TZS
UTOAJI HAKI MAHAKAMANI
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 06, 2026

UTOAJI HAKI MAHAKAMANI

by Al-Muswadiku K. Chamani
Book Purchase + Subscription 2000 TZS

Pamekuwapo na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi, hata katika vyombo vya habari, kuwa, mahakama imetoka katika nafasi yake ya kutoa haki na badala yake inachangia haki kupotea. Jambo hili si la kujivunia kwa mhim…

About This Content

Pamekuwapo na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi, hata katika vyombo vya habari, kuwa, mahakama imetoka katika nafasi yake ya kutoa haki na badala yake inachangia haki kupotea. Jambo hili si la kujivunia kwa mhimili wa dola ambao unategemewa kutoa haki kwa anayepaswa kupewa haki hiyo. Katika utafiti huu yametolewa maoni mbalimbali ya kuonesha chanzo cha tatizo hili huku wananchi wakidai kuwa, baadhi ya mahakimu hawatimizi wajibu wao kwa vile wana kinga ya kutoshtakiwa wakati wakitekeleza wajibu wao, hivyo, kufanya wapendavyo bila woga. Baadhi ya watu wamesema kuwa, kutokana na mabadiliko ya hali ya uchumi na siasa duniani, basi, hakimu kama mmojawapo wa wanajamii anapaswa aambatane na upepo wa mabadiliko hayo. Katika utafiti huu napenda kukiri kuwa, nimejikita zaidi katika Kinga ya Mahakimu na Jinsi ya Kuirekebisha. Katika sura ya kwanza ya Utafiti huu, mwandishi ameonesha mada ambayo aliifanyia utafiti huku akirejea historia yake kwa ufupi, lengo la utafiti, uwanda wake pamoja na nadharia ya uwajibikaji. Soma kitabu hiki upate ufafanuzi zaidi.

Publication Details

Category SHERIA ZA TANZANIA, UMILIKI WA ARIDHI NA HAKI ZA WANANCHI
Publisher TEPU
ISBN 978-9987-07-059-6
Date Published 2026-08-06
Publication Year 2016
Pages 40
Chapters 2
Language Swahili
Keywords HAKI
Academic No
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content