USHUHUDA WA NGARIBA
USHUHUDA WA NGARIBA
Ushuhuda wa Ngariba ni bunilizi ambayo kwa namna ilivyosukwa, inafaa sana kusomwa na watu wa rika zote. Hii ni kutokana na maudhui yake yanayosawiri maisha halisi. Riwaya imesheheni maarifa ambayo yatamwezesha msoma…
About This Content
Ushuhuda wa Ngariba ni bunilizi ambayo kwa namna ilivyosukwa, inafaa sana kusomwa na watu wa rika zote. Hii ni kutokana na maudhui yake yanayosawiri maisha halisi. Riwaya imesheheni maarifa ambayo yatamwezesha msomaji kuutafakari na kuupembua uhalisia wa maisha, kujitathmini, kujitambua na kuishi kulingana na misingi ya jamii yake. Hivyo, riwaya hii ni zawadi kubwa kwa jamii kwani maudhui yake ni elimu kamili ya maisha.
Publication Details
| Category | Riwaya |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9976-58-457-8 |
| Date Published | 2026-01-13 |
| Publication Year | 2026 |
| Pages | 199 |
| Chapters | 9 |
| Language | Swahili |
| Keywords | Hadithi, Riwaya |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader