Ushirika Tanzania
Ushirika Tanzania
Ushirika Tanzania: Historia na Hatima ya Vyama vya Ushirika na Bodi za Mazao, 1933 – 2010, ni historia ya taasisi mbili kubwa na muhimu nchini, yaani, Vyama vya Ushirika na Bodi za Mazao. Kitabu hiki kimepekua safari …
About This Content
Ushirika Tanzania: Historia na Hatima ya Vyama vya Ushirika na Bodi za Mazao, 1933 – 2010, ni historia ya taasisi mbili kubwa na muhimu nchini, yaani, Vyama vya Ushirika na Bodi za Mazao. Kitabu hiki kimepekua safari ndefu ya taasisi hizi kuanzia mwaka 1933 – 2010. Miaka 77 ya taasisi hizi imekuwa ya misukosuko, migongano baina yao, mafanikio, kufutwa, kuruhusiwa tena na matatizo. Taasisi hizi, hususan, Vyama vya Ushirika, mwanzoni kabisa, 1933, vilianzishwa kuondoa unyonyaji katika sekta ya ununuzi wa kahawa na kuhamasisha kilimo bora cha zao hili. Baadaye vilishughulikia mazao mengine na kuongezewa jukumu la kuhamasisha wananchi kudai Uhuru. Baada ya hapo vikatumika kuendeleza sera ya TANU ya Ujamaa na Kujitegemea. Sasa viko njiapanda. Je, vitaendelea kuwapo au vitajiua? Je, vina kazi tena ya kuendelea kufanya? Soma kitabu ili kupata majibu.
Publication Details
| Category | Vyama vya ushirika na Bodi za Mazao |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-67-195-3 |
| Date Published | 2026-08-21 |
| Publication Year | 2004 |
| Pages | 76 |
| Chapters | 10 |
| Language | Swahili |
| Keywords | Vyama vya ushirika na Bodi za kilimo |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader