USAWA WA KIJINSIA BILA KUACHA MMOJA NYUMA Tahadhari Kwa Mataifa: Tusijenge Pengo Jipya la Kijinsia
USAWA WA KIJINSIA BILA KUACHA MMOJA NYUMA Tahadhari Kwa Mataifa: Tusijenge Pengo Jipya …
Usawa wa Jinsia Bila Kuacha Mmoja Nyuma: Tahadhari kwa Mataifa Je, haki za wanawake zinaendelea kupanuka huku vijana wa kiume wakiachwa nyuma? Kitabu hiki kinaangazia changamoto, hatari na furasa za kuendeleza male men…
About This Content
Usawa wa Jinsia Bila Kuacha Mmoja Nyuma: Tahadhari kwa Mataifa Je, haki za wanawake zinaendelea kupanuka huku vijana wa kiume wakiachwa nyuma? Kitabu hiki kinaangazia changamoto, hatari na furasa za kuendeleza male mentorship, male guidance, male wellbeing na female mentorship bila kuunda pengo jipya la kijinsia. Kwa lugha rahisi na mifano halisi, kitabu hiki ni mwongozo muhimu kwa wazazi, shule, jamii, madhehebu ya dini na serikali. Kinatoa mikakati, sera jumuishi na mwongozo wa mshikamano wa kijinsia unaoweza kutekelezwa sasa, kuhakikisha hakuna kijana anayeachwa nyuma. Ni kitabu cha lazima kwa kila mtu anayejali maendeleo ya vijana, usawa wa kijinsia na taifa lenye mshikamano endelevu.
Publication Details
| Category | Malezi |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9912-76-732-4 |
| Date Published | 2026-08-20 |
| Publication Year | 2026 |
| Pages | 3000 |
| Chapters | 37 |
| Language | Swahili |
| Keywords | malezi |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader