UPEVUKAJI WA MAEMBE MAANDALIZI YA UVUNAJI NA HUDUMA ZITOLEWAZO BAADA YA KUVUNA
UPEVUKAJI WA MAEMBE MAANDALIZI YA UVUNAJI NA HUDUMA ZITOLEWAZO BAADA YA KUVUNA
Lengo la kuendesha Kilimobiashara ni kupata mavuno makubwa au mengi na yaliyo bora. Upevukaji wa maembe ulio mzuri lazima utambuliwe kwa dalili za upevukaji. Maandalizi ya kuvuna maembe yaliyopevuka lazima yafanywe kwa…
About This Content
Lengo la kuendesha Kilimobiashara ni kupata mavuno makubwa au mengi na yaliyo bora. Upevukaji wa maembe ulio mzuri lazima utambuliwe kwa dalili za upevukaji. Maandalizi ya kuvuna maembe yaliyopevuka lazima yafanywe kwa makini na kwa usahihi. Uvunaji wenyewe lazima ufuate utaratibu maalumu na kwa umakini wa hali ya juu ili kupata maembe bora kwa ajili ya masoko ya ndani na nje ya nchi. Baada ya kuvuna, maeme yapewe huduma kadhaa ambazo zimeelezwa kitabuni. Maembe yanayoonekana kwenye mti yasipovunwa baada ya upevukaji kukamilika, kwa kutegemea umbali wa masoko kutoka kwenye shamba, mkulima atapata hasara kubwa. Katika kitabu hiki, mkulima anaelimishwa kuhusu lini avune maembe, dalili za upevukaji, maandalizi ya uvunaji, uvunaji wenyewe na huduma zitolewazo kwa maembe yaliyovunwa. Ni kitabu rahisi kukisoma na kuelewa yaliyomo.
Publication Details
| Category | Kilimo |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9976-58-443-1 |
| Date Published | 2026-08-07 |
| Publication Year | 2024 |
| Pages | 23 |
| Chapters | 5 |
| Language | Swahili |
| Keywords | MATUNDA |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader