Book
UKUNGU
Book
Purchase + Subscription
3000 TZS
UKUNGU
Book
Purchase + Subscription
3000 TZS
Hii ni Riwaya inayoonesha namna “Gonjwa jipya linavyoua watu kama zimwi lenye hasira. Inatumia Mhusika Edgar nakuonesha namna anavyolazimika kuamua jambo moja: kubaki nyumbani na kuishi kwa matumaini; au kuacha wadogo …
About This Content
Hii ni Riwaya inayoonesha namna “Gonjwa jipya linavyoua watu kama zimwi lenye hasira. Inatumia Mhusika Edgar nakuonesha namna anavyolazimika kuamua jambo moja: kubaki nyumbani na kuishi kwa matumaini; au kuacha wadogo zake ili kutafuta maisha mapya. Nilipomaliza kusoma kitabu cha Ukungu, nimejiuliza: kati ya umaskini na maradhi, ni kipi kilitangulia?” — Madaraka Nyerere, mtoto wa Mwl. Julius K. Nyerere.
Publication Details
| Category | Riwaya |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9-976-58408-8 |
| Date Published | 2025-11-04 |
| Publication Year | 2025 |
| Pages | 282 |
| Chapters | 33 |
| Language | Swahili |
| Keywords | Hadithi, Riwaya |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader