UHUSIANO WA CHAMA TAWALA, SERIKALI NA SHERIA ZA NCHI
UHUSIANO WA CHAMA TAWALA, SERIKALI NA SHERIA ZA NCHI
Kitabu kinaeleza kuwa wakati wa kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa kupata serikali mpya, ambacho katika nchi hii ni kila baada ya miaka mitano, kila chama cha siasa huwa na Ilani ya Uchaguzi ambayo imesheheni ahadi kemkem za…
About This Content
Kitabu kinaeleza kuwa wakati wa kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa kupata serikali mpya, ambacho katika nchi hii ni kila baada ya miaka mitano, kila chama cha siasa huwa na Ilani ya Uchaguzi ambayo imesheheni ahadi kemkem za kuwashawishi wapiga kura ili wakichague kiweze kuunda Serikali. Chama kitakachoshinda Uchaguzi Mkuu kitakuwa kimeaminiwa na wapiga kura wengi, hivyo kimepewa fursa ya kutekeleza Ilani yake ya Uchaguzi, Sera na ahadi za mgombea Urais, zilizonadiwa nchi nzima katika kipindi chote cha kampeni. Jinsi chama hicho kitakavyotekeleza Ilani yake ya Uchaguzi, Sera na Ahadi za Rais alizozitoa wakati wa kampeni, imeelezwa kitabuni kwa ufasaha, Kiswahili sanifu na rahisi. Hiki ni kitabu cha lazima kwa kila mwananchi, hususan, Viongozi wa Serikali na Vyama vya Siasa, wanachama wa vyama vya siasa, Majaji na Mahakimu, Wabunge, Madiwani na Wajumbe wa Serikali za Mitaa, yaani, Vitongoji, Mitaa, Vijiji na Kata na wananchi wote, hasa, wale waliopiga kura, na asasi zisizo za serikali.
Publication Details
| Category | SHERIA ZA TANZANIA, UMILIKI WA ARIDHI NA HAKI ZA WANANCHI |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-07-089-3 |
| Date Published | 2026-08-06 |
| Publication Year | 2018 |
| Pages | 37 |
| Chapters | 5 |
| Language | Swahili |
| Keywords | CHAMA TAWALA |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader