UGONJWA YA KISUKARI Visababishi, Dalili, Madhara, Udhibiti na Matibabu
UGONJWA YA KISUKARI Visababishi, Dalili, Madhara, Udhibiti na Matibabu
Ugonjwa wa Kisukari Kitabu hiki kinatoa elimu kuhusu ugonjwa wa kisukari na jinsi unavyoathiri afya ya binadamu. Mwandishi anaanza kwa kueleza maana ya kisukari na namna mwili unavyoweza kushindwa kudhibiti…
About This Content
Ugonjwa wa Kisukari Kitabu hiki kinatoa elimu kuhusu ugonjwa wa kisukari na jinsi unavyoathiri afya ya binadamu. Mwandishi anaanza kwa kueleza maana ya kisukari na namna mwili unavyoweza kushindwa kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu kutokana na matatizo ya homa ya Insulini. Ugonjwa wa kisukari unasababishwa na mambo mbalimbali ambayo yameainishwa kitabuni ili kumwezesha msomaji kutambua mambo hayo na kuyaepuka mapema. Aidha, kitabu kinafafanua dalili mbalimbali za kisukari ambazo humsaidia mtu kutambua uwezekano wa kuwa na ugonjwa huu na namna ya kuudhibiti mapema. Pia kitabu hiki kimeonyesha madhara yanayoweza kutokea endapo kisukari hakitodhibitiwa mapema. Kitabu hiki kinaeleza njia mbalimbali za kudhibiti na kutibu kisukari kabla hakija leta madhara makubwa katika mwili wa binadamu.
Publication Details
| Category | AFYA NA UHAI |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9912-76-700-3 |
| Date Published | 2026-07-29 |
| Publication Year | 2026 |
| Pages | 106 |
| Chapters | 25 |
| Language | Swahili |
| Keywords | Ugonjwa wa Kisukari |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader