UBORESHAJI WA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
UBORESHAJI WA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
Uboreshaji wa Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni kazi inayohitaji maarifa na juhudi ili kupata mazao mazuri na bora. Wanunuzi wa kuku hupendelea kuku bora, mayai bora, nyama bora ambayo hupatikana kutokana na juhudi ya mfug…
About This Content
Uboreshaji wa Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni kazi inayohitaji maarifa na juhudi ili kupata mazao mazuri na bora. Wanunuzi wa kuku hupendelea kuku bora, mayai bora, nyama bora ambayo hupatikana kutokana na juhudi ya mfugaji kuweza kuwatunza kuku wake ipasavyo. Ufugaji bora wa kuku humhitaji mfugaji kuelewa na kuzingatia kanuni za ufugaji bora wa kuku, ambao ni pamoja na ujenzi wa banda bora; uchaguzi sahihi wa njia za ufugaji; utengenezaji na ulishaji wa chakula bora, udhibiti wa magonjwa; uzalishaji wa koo bora na elimu ya masoko. Ni lazima mfugaji wa kuku wa kienyeji awe na elimu hii ili aweze kuendesha shughuli zake kwa usahihi na kwa manufaa ya wote wale watakaopata huduma kwake.
Publication Details
| Category | UFUGAJI WA KISASA |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-42-620-1 |
| Date Published | 2026-01-06 |
| Publication Year | 2026 |
| Pages | 144 |
| Chapters | 12 |
| Language | Swahili |
| Keywords | UFUGAJI BORA WA KUKU |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader