ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

Siri ya Binadamu Kuishi Miaka Mingi: Nguzo 72 Zinazoshikiria Uhai Wako

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 2500 TZS
Siri ya Binadamu Kuishi Miaka Mingi: Nguzo 72  Zinazoshikiria Uhai Wako
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 06, 2026

Siri ya Binadamu Kuishi Miaka Mingi: Nguzo 72 Zinazoshikiria Uhai Wako

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 2500 TZS

Katika kitabu hiki, Siri ya Binadamu Kuishi Miaka Mingi: Nguzo 72 Zinazoshikilia Uhai Wako, ametumia uzoefu wa umri wake, uandishi na usomaji wa vitabu na machapisho mengine kuwaandikia Wosia binadamu kuhusu jinsi ya ku…

About This Content

Katika kitabu hiki, Siri ya Binadamu Kuishi Miaka Mingi: Nguzo 72 Zinazoshikilia Uhai Wako, ametumia uzoefu wa umri wake, uandishi na usomaji wa vitabu na machapisho mengine kuwaandikia Wosia binadamu kuhusu jinsi ya kuishi miaka 80-100. Kitabu hiki kimezingatia mapinduzi ya Sayansi na Teknolojia, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Matibabu na uelewa uliopo duniani kuhusu elimu mpya ya kumwezesha binadamu kuishi miaka mingi. Ni kitabu cha aina yake ambacho kila mwanadamu anayependa kuishi miaka mingi anapaswa kukimiliki, kukisoma na kukirejea mara kwa mara. Siri ya Binadamu Kuishi Miaka Mingi iko ndani ya kitabu hiki. Kwa hiyo, ni muhimu ukisome ili uweze kuigundua. Uhai ulionao leo ni zawadi kuu kutoka kwa Mwenyezi Mung. Jukumu lako ni kufanya uamuzi wa kuutunza (uhai huo) kwa kipindi kirefu kadiri inavyowezekana au kwa kipindi kifupi. Si jukumu lake, ni jukumu lako. Ukipewa zawadi na mtu anayekuthamini au anayekupenda, ni jukumu lako kuitunza vizuri ili iweze kukufaa kwa kipindi kirefu au kutoitunza na matokeo yake utaifaidi kwa kipindi kifupi. Hali ndivyo ilivyo kwa zawadi ya uhai tuliyopewa na Mungu. Kila mtu anapenda kuishi miaka mingi na iwe ya furaha, isiwe ya dhiki, shida na afya mbaya kwa kipindi kirefu. Lakini, hayo ni matarajio na matumaini tu. Pamoja na kujitahidi kutekeleza Nguzo hizo, endelea Kumtegemea na Kumwomba msaada Mungu. Bila yeye huwezi kitu. Kwake hakuna lisilowezekana.

Publication Details

Category AFYA NA UHAI
Publisher TEPU
ISBN 978-9-987-07081-7
Publication Year 2020
Pages 190
Chapters 72
Language Swahili
Keywords miaka,siri,
Academic Yes
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content