ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

SAYANSI YA MIMEA YA MAZAO

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS
SAYANSI YA  MIMEA YA MAZAO
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 13, 2026

SAYANSI YA MIMEA YA MAZAO

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS

Duniani kuna viumbe vya aina mbili. Aina ya kwanza ni viumbe visivyo na uhai, kwa mfano, hewa na mawe. Aina ya pili ni viumbe vyenye uhai. Viumbehai navyo vinaweza kutengwa katika makundi mawili, yaani mimea na wany…

About This Content

Duniani kuna viumbe vya aina mbili. Aina ya kwanza ni viumbe visivyo na uhai, kwa mfano, hewa na mawe. Aina ya pili ni viumbe vyenye uhai. Viumbehai navyo vinaweza kutengwa katika makundi mawili, yaani mimea na wanyama. Mimea na wanyama hutegemeana. Chakula kikuu cha wanyama ni mimea mbalimbali pamoja na mazao yatokanayo na mimea. Kwa hiyo, tunaona kwamba wanyama hutegemea mimea kwa chakula. Bila mimea wanyama wote muhimu watatoweka duniani. Kwa upande mwingine, kinyesi cha wanyama pamoja na mabaki kadhaa yanayopatikana wakati wakifa au kuchinjwa hutengeneza mboji ambayo ni chakula bora cha mimea. Mboji hiyo vilevile ni ya manufaa makubwa kwa udongo pamoja na viumbe vingine viishivyo undongoni. Viumbe hivi huiwezesha mimea kustawi zaidi. Kwa hiyo, tunaweza kusema pia kwamba mimea hutegemea wanyama kwa mahitaji yake ya chakula. Mimea nayo inaweza kutengwa katika makundi mawili: kundi la kwanza ni mimea ambayo hustawishwa na binadamu kwa madhumuni ya kupata mazao. Hii huitwa mimea ya mazao. Kundi la pili ni mimea isiyostawishwa na binadamu kwa ajili ya kupata mazao. Kitabu hiki kinahusu Sayansi ya Mimea, na hasa Mimea ya Mazao.

Publication Details

Category Agriculture
Publisher TEPU
ISBN 978-9987-67-138-0
Publication Year 2026
Pages 76
Chapters 6
Language Swahili
Keywords Sayansi ya Mimea
Academic No
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content