ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

Rais Samia na Mageuzi katika Sekta ya Mafuta Tanzani

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS
Rais Samia na Mageuzi katika Sekta ya Mafuta  Tanzani
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 07, 2026

Rais Samia na Mageuzi katika Sekta ya Mafuta Tanzani

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS

Rais Samia na Mageuzi Katika Sekta ya Mafuta Kitabu hiki kinatoa uchambuzi wa kina wa mageuzi makubwa yaliyoanzishwa katika sekta ya mafuta Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Kina angazia mchakat…

About This Content

Rais Samia na Mageuzi Katika Sekta ya Mafuta Kitabu hiki kinatoa uchambuzi wa kina wa mageuzi makubwa yaliyoanzishwa katika sekta ya mafuta Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Kina angazia mchakato mzima kuanzia utafutaji na uzalishaji, usafirishaji na usambazaji, udhibiti wa bei, sekta ndogo zinazohusiana, teknolojia na digitali, hadi ushirikiano wa kikanda na kimataifa. Kupitia sura zake 36, kitabu hiki kinaonyesha jinsi mageuzi haya yalivyochangia kuimarisha uwekezaji, kuongeza ajira, kukuza wajasiriamali wadogo na wa kati, na kuhakikisha ustawi wa wananchi. Pia kinatoa mwanga juu ya changamoto zilizojitokeza na kutoa mapendekezo ya kisera na mikakati ya kuendeleza sekta hii kwa ufanisi, uwazi, na maendeleo endelevu. Hiki ni kitabu muhimu kwa wanasiasa, wajasiriamali, wawekezaji, wataalamu wa nishati, wanahabari, wanafunzi, na wananchi wote wanaotaka kuelewa nafasi ya sekta ya mafuta katika maendeleo ya taifa. Ni mwongozo wa kitaifa unaoonyesha jinsi mageuzi ya uwazi, digitali, na teknolojia yanavyoweza kuunda mustakabali thabiti kwa Tanzania ya sasa na ya baadaye.

Publication Details

Category MCHANGO WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
Publisher TEPU
ISBN 978-9976-58-485-1
Publication Year 2025
Pages 86
Chapters 26
Language Swahili
Keywords rais samia na mageuzi katika sekta ya mafuta,sekta ya mafuta
Academic No
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content