PINGU ZA MAISHA
PINGU ZA MAISHA
Utamaduni unatufundisha kuishi kulingana na mila na desturi za asili yetu, ili kuepuka kuchafua mazingira na kuharibu dunia. Hata wanyama wa porini hawaharibu mazingira kwa sababu wanaishi kiasili. Uliwahi kujiuliza kw…
About This Content
Utamaduni unatufundisha kuishi kulingana na mila na desturi za asili yetu, ili kuepuka kuchafua mazingira na kuharibu dunia. Hata wanyama wa porini hawaharibu mazingira kwa sababu wanaishi kiasili. Uliwahi kujiuliza kwanini madume ya wanyamapori hayawezi kupata mwenzi wa maisha pasipo kupigana mpaka kuwashinda wote? Hii itufundishe kwamba kuoa ni zawadi ya ushindi. Kwa asili, wanyama wachache tu wapambanaji, wababe na majasiri ndio wenye haki ya kuoa majike yote porini; huku wanyonge na goigoi wakibakia wapweke. Ndiyo maana tamaduni zote za binadamu waliostaarabika zinamtaka mwanamme apigane na maisha mpaka kuyashinda, ndipo apewe zawadi ya mwanamwali wa kuoa. Ukitaka kujua ni kwa namna gani mambo haya yanatokea, soma au tazama tamthiriya hii maridhawa, iliyosheheni matukio ya kutisha.
Publication Details
| Category | Tamthiliya |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9976-58-441-7 |
| Date Published | 2024-06-19 |
| Publication Year | 2024 |
| Pages | 59 |
| Chapters | 4 |
| Language | Swahili |
| Keywords | Hadithi, Tamthiliya, Mapenzi |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader