PAREDI LA KUZIMU
PAREDI LA KUZIMU
“Paredi la Kuzimu ni riwaya yenye upekee mkubwa ambayo, pengine, inaweza kuingia katika riwaya za majaribio. Ni riwaya iliyojaa uhalisia mazingaombwe, lugha za picha, visa na misemo kemkem. Wahusika wake, kwa kiasi kiku…
About This Content
“Paredi la Kuzimu ni riwaya yenye upekee mkubwa ambayo, pengine, inaweza kuingia katika riwaya za majaribio. Ni riwaya iliyojaa uhalisia mazingaombwe, lugha za picha, visa na misemo kemkem. Wahusika wake, kwa kiasi kikubwa, wanasadifu matukio ya siku kwa siku katika maisha ya binadamu ambayo mengine huwa ya kufikirika na mengine ni yale tunayoyashuhudia. Riwaya hii inawafaa sana watu wenye upeo mkubwa wa kuyadadavua mambo, wakiwamo wahadhiri na wanavyuo kwani kuyaelewa maudhui yake inahitajika tafakari nzito.”
Publication Details
| Category | Riwaya |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9-976-58422-6 |
| Date Published | 2026-02-28 |
| Publication Year | 2026 |
| Pages | 233 |
| Chapters | 22 |
| Language | Swahili |
| Keywords | Horror, Drama, Stories |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader