ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

NYUMBANI KWAO TITO

by Angelica C. Mulokozi
Book Purchase + Subscription 2000 TZS
NYUMBANI KWAO TITO
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 06, 2026

NYUMBANI KWAO TITO

by Angelica C. Mulokozi
Book Purchase + Subscription 2000 TZS

Nyumbani kwao Tito ni hadithi inayoeleza maisha ya kila siku ya mtoto Tito akiwa nyumbani kwao na shuleni. Anasoma Darasa la Tatu. Tito ana wadogo zake Koku na Kemi. Watoto hawa watatu na wazazi wao ni familia nzuri ya…

About This Content

Nyumbani kwao Tito ni hadithi inayoeleza maisha ya kila siku ya mtoto Tito akiwa nyumbani kwao na shuleni. Anasoma Darasa la Tatu. Tito ana wadogo zake Koku na Kemi. Watoto hawa watatu na wazazi wao ni familia nzuri ya kuigwa. Kitabu kinaonyesha shughuli za Tito kuanzia anapoamka asubuhi hadi saa ya kulala usiku. Shughuli zake kabla ya kwenda shule, akiwa shuleni, anaporudi nyumbani, malezi kutoka kwa wazazi wake, anavyojishughulisha na kilimo na ufugaji, anavyotunza afya yake na moyo wake wa shukurani kwa wazazi na walimu. Inafaa watoto na wazazi wakisome kitabu hiki.

Publication Details

Category HADITHI FUPI ZA WATOTO NA VIJANA
Publisher TEPU
ISBN 978-9987-67-199-1
Date Published 2021-03-02
Publication Year 2021
Pages 21
Chapters 1
Language Swahili
Keywords kids
Academic Yes
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content