MWONGOZO WA KILIMOBIASHARA CHA VANILA
MWONGOZO WA KILIMOBIASHARA CHA VANILA
Vanila ni zao la kiungo. Kwa mujibu wa “Kamusi Kuu ya Kiswahili” iliyoandikwa na Baraza la Kiswahili, Toleo la pili, 2016, inatoa maana ya neno “kiungo” kuwa ni “kitu kinachoongeza ladha na harufu ya kuvutia katika cha…
About This Content
Vanila ni zao la kiungo. Kwa mujibu wa “Kamusi Kuu ya Kiswahili” iliyoandikwa na Baraza la Kiswahili, Toleo la pili, 2016, inatoa maana ya neno “kiungo” kuwa ni “kitu kinachoongeza ladha na harufu ya kuvutia katika chakula.” Vanila huongeza ladha na harufu nzuri inayovutia kwenye aina mbalimbali za vyakula, vinywaji, sabuni, hasa, za kuogea, manukato, vipodozi n.k. Kinachofanya vanila kuvutia ni dutu inayoitwa vanillin ambayo inatokana na uponyeshaji mzuri wa mapodo yaliyovunwa. Vanillin ndiyo inayoipa vanila thamani. Vanillin ikiwa kidogo, thamani ya vanila itakuwa chini na bei yake itakuwa ndogo sana. Ikiwa kubwa, thamani ya vanila itakuwa juu na bei yake sokoni itakuwa kubwa. Kwa upande mwingine, vanila ni zao jipya la biashara hapa nchini. Liliingizwa nchini 1954, lakini, lilianza kustawishwa kibiashara 1992 katika wilaya ya Bukoba. Lakini, bei yake nchini na katika nchi za nje imewavutia wakulima wapya wengi, wanaoishi katika mikoa na wilaya zenye tabianchi na udongo unaohitajiwa na zao hili, kuanza kulistawisha. Kwa maelezo zaidi soma kitabu hiki hadi mwisho.
Publication Details
| Category | Kilimo |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9912-76-711-9 |
| Date Published | 2026-08-07 |
| Publication Year | 2026 |
| Pages | 103 |
| Chapters | 15 |
| Language | Swahili |
| Keywords | vanila |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader