MWONGOZO WA KILIMOBIASHARA CHA MIPAPAI
MWONGOZO WA KILIMOBIASHARA CHA MIPAPAI
Mwongozo wa Kilimobiashara cha Mipapai ni kitabu kinachotoa elimu ya kilimo cha biashara ya zao hili kwa wakulima wapya na wa zamani juu ya namna kulistawisha zao ili kupata mamilioni ya fedha ndani ya miezi 12 ya kwanz…
About This Content
Mwongozo wa Kilimobiashara cha Mipapai ni kitabu kinachotoa elimu ya kilimo cha biashara ya zao hili kwa wakulima wapya na wa zamani juu ya namna kulistawisha zao ili kupata mamilioni ya fedha ndani ya miezi 12 ya kwanza, kwa kupanda mbegu chotara za aina maarufu za mipapai na kwa kuzingatia kanuni nyingine muhimu ambazo zimeelezwa kitabuni. Kitabu kinaeleza Sayansi ya Muundo wa Mpapai; Faida zake; Aina bora na Maumbo ya Mapapai; Mifumo ya kilimo cha Mipapai; Mahitaji makuu ili iweze kustawi vizuri; Maandalizi ya Miche; Maandalizi ya Shamba na Mashimo; Wakati ufaao kuhamisha miche kutoka kitaluni na Upandikizaji shambani; Utunzaji wa Mimea shambani; Aina na kiasi cha mbolea kinachohitajika kustawisha mmea. Sababu za Maua na Matunda machanga kudondoka kutoka kwenye Mpapai; Visumbufu vya mipapai na Udhibiti wake; Upevukaji; Uvunaji na huduma zitolewazo baada ya kuvuna; Gharama za kuanzisha shamba la eka moja na Mapato kutokana na eka hiyo na Utunzaji wa Kumbukumbu za shughuli za Shamba.
Publication Details
| Category | Kilimo |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-07-083-1 |
| Date Published | 2026-08-21 |
| Publication Year | 2022 |
| Pages | 142 |
| Chapters | 23 |
| Language | Swahili |
| Keywords | kilimo |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader