MWONGOZO WA KILIMO BORA USINDIKAJI NA BIASHARA YA MATIKITIMAJI
MWONGOZO WA KILIMO BORA USINDIKAJI NA BIASHARA YA MATIKITIMAJI
Kilimo cha matikitimaji ni miongoni mwa sekta ndogo za bustani zinazokua kwa kasi nchini Tanzania katika kipindi cha miaka ya karibuni. Kutokana na ongezeko la mahitaji ya matunda yenye virutubisho, soko la ndani na la …
About This Content
Kilimo cha matikitimaji ni miongoni mwa sekta ndogo za bustani zinazokua kwa kasi nchini Tanzania katika kipindi cha miaka ya karibuni. Kutokana na ongezeko la mahitaji ya matunda yenye virutubisho, soko la ndani na la nje limeendelea kupanuka, na hivyo kuwapa wakulima fursa kubwa ya kuongeza kipato na kuinua maisha yao. Kitabu hiki kimeandaliwa mahsusi kwa ajili ya wakulima wadogo, wa kati na wakubwa, wanafunzi wa vyuo vya kilimo, watafiti, wawekezaji, wasindikaji, wafanyabiashara na watunga sera.
Publication Details
| Category | Kilimo |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9912-76-721-8 |
| Date Published | 2026-08-07 |
| Publication Year | 2026 |
| Pages | 116 |
| Chapters | 28 |
| Language | Swahili |
| Keywords | kilimo |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader