MIGOMBA UANZISHAJI NA UTUNZAJI WA SHAMBA
MIGOMBA UANZISHAJI NA UTUNZAJI WA SHAMBA
Migomba ni mmea wa zao muhimu ambalo limeishi na kustawishwa katika Afrika ya Mashariki kwa muda wa miaka mingi sasa. Katika muda wote huo zao hili limetumiwa na wananchi, hasa wanaolilima, kwa madhumuni mbalimbali. La…
About This Content
Migomba ni mmea wa zao muhimu ambalo limeishi na kustawishwa katika Afrika ya Mashariki kwa muda wa miaka mingi sasa. Katika muda wote huo zao hili limetumiwa na wananchi, hasa wanaolilima, kwa madhumuni mbalimbali. Lakini matumizi yake muhimu yamekuwa ni kutumiwa kwa chakula, kutengeneza pombe, kuchomwa na kuliwa kama tunda tamu. Migomba ni mimea na matunda yake huitwa ndizi. Ni ndizi ambazo huhusika katika matumizi manne tuliyoyataja hapo juu. Hata hivyo, kwa muda mrefu ongezeko la ndizi limetokana hasa na upanuzi wa kilimo cha migomba katika mikoa ambayo kiasili hustawisha zao hilo na siyo kutokana na wakulima kuzingatia kanuni za kilimo cha kisasa cha migomba.
Publication Details
| Category | Kilimo |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-67-191-5 |
| Date Published | 2026-08-07 |
| Publication Year | 2020 |
| Pages | 114 |
| Chapters | 10 |
| Language | Swahili |
| Keywords | MIGOMBA |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader