Mfalme Twiga
Mfalme Twiga
Mfalme Twiga ni hadithi inayosimulia kuhusu faida ya uadilifu wa Twiga na hasa za ubabe wa Tembo na Simba. Hadithi inaanza kwa Tembo kuwaonea Siafu kwa kuwafukuza barabarani na kuharibu vyakula vyao. Simba naye anamta…
About This Content
Mfalme Twiga ni hadithi inayosimulia kuhusu faida ya uadilifu wa Twiga na hasa za ubabe wa Tembo na Simba. Hadithi inaanza kwa Tembo kuwaonea Siafu kwa kuwafukuza barabarani na kuharibu vyakula vyao. Simba naye anamtaka Sungura ampe mkono wake ili aule. Sungura anafaulu kujisalimisha kwa kukimbilia pangoni. Siafu na Sungura wanawashtaki Tembo na Simba kwa Mfalme Twiga kutokana na uonevu wao. Tembo na Simba wanapatikana na hatia. Baada ya Mfalme Twiga kuwahukumu Tembo na Simba wanaunda kikosi cha kumuua Mfalme Twiga na kumwondoa madarakani. Je, Simba na Tembo watafanikiwa nia yao kumwondoa Mfalme Twiga madarakani? Je, Siafu walimsaida vipi Mfalme Twiga? Soma ndani ya kitabu upate majibu.
Publication Details
| Category | HADITHI FUPI ZA WATOTO NA VIJANA |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-88-332-5 |
| Publication Year | 2021 |
| Pages | 28 |
| Chapters | 1 |
| Language | Swahili |
| Keywords | kids |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader