MAHITAJI YA MAJI YA KUSTAWISHA MAEMBE NA UMUHUMU WA UMWAGILIAJI
MAHITAJI YA MAJI YA KUSTAWISHA MAEMBE NA UMUHUMU WA UMWAGILIAJI
Maji ni pembejeo namba moja kwa kilimobiashara. Bila maji hakuna uhai duniani. Bila maji hakuna kustawisha mazao ya mimea. Bila maji ufugaji wa aina yoyote hauwezekani. Hakuna lolote linaweza kufanyika bila matumizi …
About This Content
Maji ni pembejeo namba moja kwa kilimobiashara. Bila maji hakuna uhai duniani. Bila maji hakuna kustawisha mazao ya mimea. Bila maji ufugaji wa aina yoyote hauwezekani. Hakuna lolote linaweza kufanyika bila matumizi ya maji. Katika kitabu hiki, tunaeleza umuhimu wa maji kwa kilimobiashara cha miembe na jinsi ya kunyweshea miembe maji. Katika nyakati hizi ambapo kutokana na mabadiliko ya tabianchi majira ya mvua tuliyoyazoea hayaaminiki tena, upatikanaji wa maji kwa njia ya Umwagiliaji wa miembe ni wa lazima sasa kuliko ilivyowahi kuwa huko nyuma. Na ili uweze kupata maji ya kumwagilia shamba la miembe, lazima kuwa na chanzo cha maji kinachoaminika na cha kudumu. Kitabu hiki kinaeleza kwa muhtasari, kazi na faida za maji kwa miembe na namna bora ya kuyatumia kunyweshea (miembe). Aidha, kinaeleza kuhusu umwagiliaji na aina za vyanzo vya maji ya kumwagilia. Ni muhimu kila mkulima awe na elimu iliyomo kitabuni kwa mafanikio ya kilimo cha miembe.
Publication Details
| Category | Kilimo |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9976-58-444-8 |
| Date Published | 2026-08-07 |
| Publication Year | 2022 |
| Pages | 15 |
| Chapters | 15 |
| Language | Swahili |
| Keywords | MATUNDA |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader