Magonjwa10 Yasiyoambukiza Yanayoongoza kwa kuua Mamilioni ya Walau kila Mwaka.
Magonjwa10 Yasiyoambukiza Yanayoongoza kwa kuua Mamilioni ya Walau kila Mwaka.
Magonjwa Yasiyoambukiza yameibuka kuwa tishio kubwa la afya ya binadamu duniani kote, yakiathiri watu wa rika zote, jinsia zote na hali zote za kijamii na kiuchumi. Tofauti na magonjwa ya kuambukiza kama vile malaria, k…
About This Content
Magonjwa Yasiyoambukiza yameibuka kuwa tishio kubwa la afya ya binadamu duniani kote, yakiathiri watu wa rika zote, jinsia zote na hali zote za kijamii na kiuchumi. Tofauti na magonjwa ya kuambukiza kama vile malaria, kifua kikuu au kipindupindu, magonjwa haya hayaambukizwi kutoka mtu mmoja kwenda kwa mwingine, bali husababishwa zaidi na mabadiliko ya mitindo ya maisha, lishe duni, matumizi ya tumbaku na pombe, kutofanya mazoezi ya mwili na mazingira yasiyo rafiki kwa afya.
Publication Details
| Category | AFYA NA UHAI |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9-912-76744-7 |
| Publication Year | 2026 |
| Pages | 84 |
| Chapters | 10 |
| Language | Swahili |
| Keywords | afya,magonjwa,health,kuambukiza |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader