MAGONJWA YA MIEMBE NA MAEMBE NA UDHIBITI WAKE
MAGONJWA YA MIEMBE NA MAEMBE NA UDHIBITI WAKE
Miembe na maembe hushambuliwa na aina nyingi za wadudu. Wingi wake hutegemea nchi na tabianchi yake. Katika nchi hii, kitabuni tumebainisha wadudu kumi na nne (14) ambao ndio wanaoleta madhara makubwa kwa miembe na mae…
About This Content
Miembe na maembe hushambuliwa na aina nyingi za wadudu. Wingi wake hutegemea nchi na tabianchi yake. Katika nchi hii, kitabuni tumebainisha wadudu kumi na nne (14) ambao ndio wanaoleta madhara makubwa kwa miembe na maembe wasipodhibitiwa. Wadudu hawa ni changamoto kubwa kwa kiimobiashara cha miembe. Kazi kubwa ya mkulima ni kuelewa kwa kina kila mdudu, tabia zake, madhara yanayosababishwa, dalili za uharibifu na njia za kumdhibiti asilete madhara.
Publication Details
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9976-58-442-4 |
| Date Published | 2026-08-07 |
| Publication Year | 2023 |
| Pages | 32 |
| Chapters | 2 |
| Language | Swahili |
| Keywords | MATUNDA |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader