ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

MAGONJWA YA BINADAMU WANAYOAMBUKIZWA NA VIMELEA (PROTOZOA NA MINYOO) YANAYOUA MAELFU YA WANANCHI KILA MWAKA

by Rachel W. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS
MAGONJWA YA BINADAMU  WANAYOAMBUKIZWA NA VIMELEA  (PROTOZOA NA MINYOO) YANAYOUA  MAELFU YA WANANCHI KILA MWAKA
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 18, 2026

MAGONJWA YA BINADAMU WANAYOAMBUKIZWA NA VIMELEA (PROTOZOA NA MINYOO) YANAYOUA MAELFU Y…

by Rachel W. Ngeze
Book Purchase + Subscription 3000 TZS

Magonjwa yanayozuilika Kila mwaka, maelfu ya watu hupoteza maisha au kuathirika kiafya kutokana na aina mbalimbali za vimelea, jinsi vinavyoishi, namna vinavyoambukiza binadamu, dalili zake, madhara yake kwa afya, uchun…

About This Content

Magonjwa yanayozuilika Kila mwaka, maelfu ya watu hupoteza maisha au kuathirika kiafya kutokana na aina mbalimbali za vimelea, jinsi vinavyoishi, namna vinavyoambukiza binadamu, dalili zake, madhara yake kwa afya, uchunguzi, matibabu na mbinu za kujikinga. Kitabu hiki pia kinaeleza kinahimiza usafi wa mazingira, tabia za binadamu na kuenea kwa magonjwa haya. Kwa kutumia mifano halisi, vielelezo na maelezo ya kisayansi yaliyorahisishwa, msomaji atapata uelewa mpana wa namna magonjwa kama malaria, kichocho, minyoo ya tumbo, amoeba, trypanosomiasis (ugonjwa wa usingizi), leishmaniasis na mengine mengi. Katika kitabu hiki, mwandishi anawasilisha kwa lugha rahisi na ya kueleweka maarifa muhimu kuhusu aina ya kutambua na kupambana na magonjwa haya hatari katika ngazi ya mtu binafsi, familia na jamii. Hiki ni kitabu muhimu kwa wanafunzi, walimu, wahudumu na sehemu wa afya, watafiti, viongozi wa jamii na wananchi wote wanaotaka kuelewa kwa kina magonjwa yanayoenezwa na vimelea na jinsi ya kuyadhibiti ili kulinda afya za watu na maendeleo ya taifa. Mwandishi ametayarisha Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama protozoa na minyoo bado ni tatizo kubwa la afya ya umma nchini Tanzania kazi hii kama mchango wa elimu ya afya kwa jamii, akiamini kuwa maarifa sahihi ni silaha muhimu katika mapambano dhidi ya magonjwa.

Publication Details

Category AFYA NA UHAI
Publisher TEPU
ISBN 978-9912-76-750-8
Publication Year 2026
Pages 66
Chapters 17
Language Swahili
Academic Yes
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content