MAGONJWA NA WADUDU WA MIPAPAI NA MAPAPAI NA UDHIBITI WAKE
MAGONJWA NA WADUDU WA MIPAPAI NA MAPAPAI NA UDHIBITI WAKE
Kitabu hiki ni cha msaada kwa Wakulima, Mameneja wa Mashamba na Wafanyakazi wa mashamba. Kitawasaidia kutambua visumbufu hivi: dalili zake, madhara yanayosababishwa na njia za udhibiti wake.Magonjwa na Wadudu ni visumb…
About This Content
Kitabu hiki ni cha msaada kwa Wakulima, Mameneja wa Mashamba na Wafanyakazi wa mashamba. Kitawasaidia kutambua visumbufu hivi: dalili zake, madhara yanayosababishwa na njia za udhibiti wake.Magonjwa na Wadudu ni visumbufu vikuu vya kilimobiashara cha mipapai na mapapai nchini. Visumbufu hivi ni changamoto kubwa kwa kilimobiashara cha zao hili.Udhibiti wake huhitaji mkulima awe na nguvukazi ya kutosha ya kutunza vizuri shamba na kunyunyizia viuatilifu mimea.Uwepo wa magugu shambani huchangia kuhifadhi na kuwa mojawapo ya vyanzo vya magonjwa na wadudu waharibifu. Kwa hiyo, ni muhimu, pia, kudhibiti magugu shambani kwa kutumia njia ambazo zimeelezwa kitabuni.
Publication Details
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9976-58-446-2 |
| Date Published | 2026-08-07 |
| Publication Year | 2022 |
| Pages | 35 |
| Chapters | 3 |
| Language | Swahili |
| Keywords | MATUNDA |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader