ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

KUTOKA UCHUNGAJI KWENDA UFUGAJI TANZANIA

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 2000 TZS
KUTOKA UCHUNGAJI KWENDA UFUGAJI TANZANIA
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 06, 2026

KUTOKA UCHUNGAJI KWENDA UFUGAJI TANZANIA

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 2000 TZS

Kutoka UCHUNGAJI kwenda UFUGAJI ni jkitabu ambacho limechaguliwa kwa makini ili kuonyesha dira au lengo la ufugaji katika nchi yetu. Wananchi wetu wanaomiliki mifugo, hasa ng’ombe, mbuzi na kondoo wanachunga, hawafugi.…

About This Content

Kutoka UCHUNGAJI kwenda UFUGAJI ni jkitabu ambacho limechaguliwa kwa makini ili kuonyesha dira au lengo la ufugaji katika nchi yetu. Wananchi wetu wanaomiliki mifugo, hasa ng’ombe, mbuzi na kondoo wanachunga, hawafugi. Katika kuchunga, huhamahama ndani ya Kijiji, Kata, Wilaya na hata baina ya Mikoa. Matokeo yake ni uharibifu wa mazingira, kueneza magonjwa ya mifugo na hatimaye mifugo hukonda. Ili waweze kupata fedha nyingi lazima wenye mifugo hao wawe na mifugo mingi, hasa ng’ombe. Rais wetu, Mheshimiwa Jakaya M. Kikwete, alipotembelea mfugaji mmoja nchini Afrika Kusini mapema mwaka 2006 alifurahi alipoonyeshwa ng’ombe mmoja mwenye kilo 1,500. Aliporudi nchini akaelezwa kuwa hata Tanzania wapo ng’ombe wenye zaidi ya kilo 1,500 kila mmoja. Uzito huu ni matokeo ya kufuga, si kuchunga.

Publication Details

Category Kilimo
Publisher TEPU
ISBN 978-9987-42-617-4
Date Published 2007-10-16
Publication Year 2007
Pages 80
Chapters 8
Language Swahili
Keywords Uchungaji kwenda Ufugaji
Academic No
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content