ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

KUTAYARISHA ARDHI NA KUCHIPUSHA MAZAO ZAIDI

by Sunday Adkin Mwalunege
Book Purchase + Subscription 3000 TZS
KUTAYARISHA ARDHI NA KUCHIPUSHA MAZAO ZAIDI
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 08, 2026

KUTAYARISHA ARDHI NA KUCHIPUSHA MAZAO ZAIDI

by Sunday Adkin Mwalunege
Book Purchase + Subscription 3000 TZS

Uandishi wa kitabu hiki umefanyika kwa kusudi la kujibu maswali mengi kutoka kwa wakulima kuhusiana na mambo ya kawaida yasiyofahamika vizuri na kwa wepesi. Kuna maarifa mengi ya ajabu kila unapofunua sura za kitabu hik…

About This Content

Uandishi wa kitabu hiki umefanyika kwa kusudi la kujibu maswali mengi kutoka kwa wakulima kuhusiana na mambo ya kawaida yasiyofahamika vizuri na kwa wepesi. Kuna maarifa mengi ya ajabu kila unapofunua sura za kitabu hiki. Msomaji atawezeshwa kuwa na kilimo endelevu na cha kisasa. Mitaji ya kilimo iliyokwama, itaendelezwa tena kwa sababu, kabla ya kuandika kitabu hiki, niliweza kufanya kazi ya kupita karibu wilaya zote za Tanzania bara. Huko nilifanya kazi pamoja na wakulima kadha wa kadha. Changamoto, mahitaji na maoni ya wakulima ni sehemu ya sentensi za kitabu.

Publication Details

Category Kilimo
Publisher TEPU
ISBN 978-9976-58-430-1
Date Published 2026-08-07
Publication Year 2024
Pages 154
Chapters 10
Language Swahili
Keywords ARDHI
Academic Yes
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content