ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

KUFUNGUA SHAURI NA UTETEZI MAHAKAMANI

by Al-Muswadiku K. Chamani
Book Purchase + Subscription 3000 TZS
KUFUNGUA SHAURI NA UTETEZI MAHAKAMANI
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 06, 2026

KUFUNGUA SHAURI NA UTETEZI MAHAKAMANI

by Al-Muswadiku K. Chamani
Book Purchase + Subscription 3000 TZS

Kufungua Shauri na Utetezi Mahakamani, ni kitabu kinachohusu migogoro ya ardhi na utatuzi wake, inaweza pia kutumika kwa mashauri ya aina nyingine kwani kuna kanuni na mwongozo. Ieleweke kuwa, kutojua sheria, taratibu…

About This Content

Kufungua Shauri na Utetezi Mahakamani, ni kitabu kinachohusu migogoro ya ardhi na utatuzi wake, inaweza pia kutumika kwa mashauri ya aina nyingine kwani kuna kanuni na mwongozo. Ieleweke kuwa, kutojua sheria, taratibu au kutokuwa na fedha zinazotakiwa kulipwa, hakutokupatia haki unayostahili. Kwa hakika, kutofuata taratibu na kutokuwa na fedha zinazotakiwa kulipwa kutakupotezea haki yako. Kwa vile, mahali pekee pa mtu kupata haki yake ni mahakamani, kitabu hiki ni muhimu na cha lazima kwa kila mtu mzima, ikiwa ni pamoja na Viongozi wa Vitongoji, Mitaa, Vijiji, Kata, Tarafa, Wilaya na Mikoa, Wanasheria, Mahakimu na Mawakili.

Publication Details

Category SHERIA ZA TANZANIA, UMILIKI WA ARIDHI NA HAKI ZA WANANCHI
Publisher TEPU
ISBN 978-9987-67-134-2
Date Published 2026-08-06
Publication Year 2026
Pages 163
Chapters 5
Language Swahili
Keywords SHAURI NA UTETEZI
Academic No
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content