Kivuli Kilichotoweka Pasipokutarajiwa
Kivuli Kilichotoweka Pasipokutarajiwa
Kitabu hiki ni mkusanyiko wa hadithi kumi fupifupi na kila moja ni sura inayojitegemea. Hivyo, kitabu kina sura kumi ambazo zinahifadhi hadithi kumi. Hadithi zinahusu mambo mbalimbali na, bila ya shaka, zina mvuto duni…
About This Content
Kitabu hiki ni mkusanyiko wa hadithi kumi fupifupi na kila moja ni sura inayojitegemea. Hivyo, kitabu kina sura kumi ambazo zinahifadhi hadithi kumi. Hadithi zinahusu mambo mbalimbali na, bila ya shaka, zina mvuto duniani kote. Zinasawiri kauli inayochokoza mawazo kwamba hata kama mtu ni wa rangi ya buluu, manjano, nyeusi, nyeupe au kahawia, haimfanyi kutokuwa binadamu. Hata hivyo, asili halisi ya utu inadhihirishwa kupitia (pamoja na mambo mengine) mahusiano, upendo, migogoro ya wanandoa, chuki, kijicho, usaliti na njama. Hizi hadithi kumi kutoka India ambazo zinazindua msomaji, zinagusia dhana za kimapokeo, imani, dini, Uislamu na Ubudha. Kadhalika, hadithi zinasukumiza msomaji kwenye dhana juu ya mashetani, majini na maisha yasiyo na kikomo. Lakini pia zinaeleza kuhusu elimu iliyo rasmi, Umaksi, siasa, ukombozi, utaifa na ubaguzi wa rangi. Kwa ujumla, Kivuli Kilichotoweka Pasipokutarajiwa kinafafanua bayana utatizi na kushabihiana kwa hulka asili ya ubinadamu.
Publication Details
| Category | Riwaya |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9-987-07014-5 |
| Date Published | 2026-02-04 |
| Publication Year | 2026 |
| Pages | 170 |
| Chapters | 10 |
| Language | Swahili |
| Keywords | Hadithi, Riwaya |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader