KAHAWA TANZANIA
KAHAWA TANZANIA
Kahawa Tanzania ni kitabu kinachopekua historia, safari ndefu na maendeleo yaliyofikiwa na kilimo cha zao hili tangu lilipoingizwa nchini na Wamisionari wa Kikristo kutoka Kisiwa cha Reunioni miaka 131 ili…
About This Content
Kahawa Tanzania ni kitabu kinachopekua historia, safari ndefu na maendeleo yaliyofikiwa na kilimo cha zao hili tangu lilipoingizwa nchini na Wamisionari wa Kikristo kutoka Kisiwa cha Reunioni miaka 131 iliyopita. Kitabu kina sehemu tano zenye jumla ya sura 16. Kati ya sura hizo ni zile zinazoeleza mtizamo wa kimataifa kuhusu hatima ya zao hili; Uuzaji, Masoko na Mifumo ya Uuzaji; Kahawa kimataifa.
Publication Details
| Category | Kilimo |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-42-618-8 |
| Date Published | 2026-08-21 |
| Publication Year | 2013 |
| Pages | 162 |
| Chapters | 16 |
| Language | Swahili |
| Keywords | kilimo |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader