Book
JUHUDI NA MAARIFA KATIKA KILIMO
Book
Purchase + Subscription
3000 TZS
JUHUDI NA MAARIFA KATIKA KILIMO
Book
Purchase + Subscription
3000 TZS
Juhudi na Maarifa katika Kilimo ni kitabu chenye maswali 76 na majibu ambayo yanalengo la kuwaelimisha wanafunzi na wakulima kuhusu namna ya kutumia juhudi na maarifa katika kuendesha kilimo. Kitabu hiki k…
About This Content
Juhudi na Maarifa katika Kilimo ni kitabu chenye maswali 76 na majibu ambayo yanalengo la kuwaelimisha wanafunzi na wakulima kuhusu namna ya kutumia juhudi na maarifa katika kuendesha kilimo. Kitabu hiki kimegawanyika katika sura zifuatazo: • Wakulima na Kilimo. • Udongo na Kilimo. • Urutubishaji wa Udongo. • Maadui wa mimea na uthibiti wake • Utunzaji na uuzaji wa mavuno
Publication Details
| Category | Kilimo |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-67-180-9 |
| Date Published | 2010-08-20 |
| Publication Year | 2010 |
| Pages | 41 |
| Chapters | 5 |
| Language | Swahili |
| Keywords | kilimo |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader