JIFUNZE UFUGAJI BORA WA NGURUWE
JIFUNZE UFUGAJI BORA WA NGURUWE
Ufugaji wa Nguruwe ni shughuli inayoweza kumwondoa mfugaji kwenye umaskini, kuipa familia yake kitoweo chenye viinilishe muhimu na kutunza mazingira. Nguruwe huzaa mara mbili kwa mwaka na kwa kila uzao huzao kuzaa vibwa…
About This Content
Ufugaji wa Nguruwe ni shughuli inayoweza kumwondoa mfugaji kwenye umaskini, kuipa familia yake kitoweo chenye viinilishe muhimu na kutunza mazingira. Nguruwe huzaa mara mbili kwa mwaka na kwa kila uzao huzao kuzaa vibwagara hadi ya kumi na viwili (12) na hata zaidi. Hii ina maana ya nguruwe 24 kwa mwaka. Aidha, vibwagara huongezeka uzito haraka sana ukilinganisha na mifugo mingine. Huongezeka gramu 500 hadi 700 kwa siku moja na hivyo kufikia uzito wa kuchinjwa, yaani, kilo 60 - 90, kati ya miezi 6 na 8 iwapo atatunzwa vizuri. Hii pia itamwezesha mfugaji kujipatia kipato kizuri ndani ya kipindi kifupi.
Publication Details
| Category | UFUGAJI WA KISASA |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-07-021-3 |
| Date Published | 2026-08-21 |
| Publication Year | 2018 |
| Pages | 111 |
| Chapters | 11 |
| Language | Swahili |
| Keywords | UFUGAJI WA NGURUWE |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader