Book
JIFUNZE KUSTAWISHA VIAZI VITAMU
Book
Purchase + Subscription
3000 TZS
JIFUNZE KUSTAWISHA VIAZI VITAMU
Book
Purchase + Subscription
3000 TZS
Jifunze Kustawisha Viazi Vitamu ni Kitabu kinachoeleza namna ya kustawisha zao hili. Viazi vitamu ni mojawapo ya mazao ya mizizi. Sehemu ya mizizi iliyovimba huitwa kiazi. Zao hili ni muhimu sana kwa chakula cha watu we…
About This Content
Jifunze Kustawisha Viazi Vitamu ni Kitabu kinachoeleza namna ya kustawisha zao hili. Viazi vitamu ni mojawapo ya mazao ya mizizi. Sehemu ya mizizi iliyovimba huitwa kiazi. Zao hili ni muhimu sana kwa chakula cha watu wengi duniani na mifugo. Mbali na kuwa chakula, vilevile, viazi vitamu ni zao la kinga ya njaa. Hukomaa haraka. Baada ya miezi minne unaweza kuanza kuvivuna.
Publication Details
| Category | Kilimo |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-42-634-8 |
| Date Published | 2026-08-21 |
| Publication Year | 2025 |
| Pages | 68 |
| Chapters | 9 |
| Keywords | kilimo |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader