JIFUNZE KUSTAWISHA MPUNGA
JIFUNZE KUSTAWISHA MPUNGA
Wali hutumiwa kwa chakula na watu wengi sana nchini na ni zao la biashara pia. Aidha, kilimo cha mpunga si kigeni nchini. Takribani mikoa yote nchini hustawisha mpunga, ingawa ipo ambayo ni maarufu, kama vile, Shinyanga…
About This Content
Wali hutumiwa kwa chakula na watu wengi sana nchini na ni zao la biashara pia. Aidha, kilimo cha mpunga si kigeni nchini. Takribani mikoa yote nchini hustawisha mpunga, ingawa ipo ambayo ni maarufu, kama vile, Shinyanga, Simiyu, Morogoro, Mbeya, Mwanza, Geita, Kilimanjaro, Dodoma, Pwani, Mtwara na Lindi.Takribani asilimia 95 ya mpunga unaozalishwa nchini huzalishwa na wakulima wadogo, kilimo chao hutegemea maji ya mvua na kimegawanyika katika maeneo matatu ya uzalishaji. Soma kitabu hiki ili upate mbinu bora za kuzalisha mpunga kwa faida na kipato endelevu.
Publication Details
| Category | Kilimo |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-07-026-8 |
| Date Published | 2026-08-07 |
| Publication Year | 2015 |
| Pages | 84 |
| Chapters | 15 |
| Language | Swahili |
| Keywords | NAFAKA |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader