ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

JIFUNZE KUSTAWISHA MIKOROSHO

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 2000 TZS
JIFUNZE KUSTAWISHA MIKOROSHO
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 07, 2026

JIFUNZE KUSTAWISHA MIKOROSHO

by Pius B. Ngeze
Book Purchase + Subscription 2000 TZS

Korosho ni moja ya mazao muhimu ya biashara na chakula. Mikoa inayolistawisha kwa wingi ni Mtwara, Lindi na Pwani. Pia, hustawi Pemba na Unguja. Soko la korosho ni kubwa nchini na katika nchi za nje. Tatizo ni kuwa uzal…

About This Content

Korosho ni moja ya mazao muhimu ya biashara na chakula. Mikoa inayolistawisha kwa wingi ni Mtwara, Lindi na Pwani. Pia, hustawi Pemba na Unguja. Soko la korosho ni kubwa nchini na katika nchi za nje. Tatizo ni kuwa uzalishaji uko chini ya mahitaji ya soko. Uzalishaji kwa ekari au hektari na kwa mti mmoja uko chini. Hii inatokana na wakulima wengi kutojua na kutozingatia kanuni bora za kilimo cha zao hili. Aidha, jitihada za kufufua na kuboresha mashamba ya mikorosho haziridhishi.

Publication Details

Category Kilimo
Publisher TEPU
ISBN 978-9987-07-023-7
Date Published 2026-08-07
Publication Year 2010
Pages 45
Chapters 8
Language Swahili
Keywords MATUNDA
Academic No
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content