Book
Jifunze Kustawisha Ufuta
Book
Purchase + Subscription
3000 TZS
Jifunze Kustawisha Ufuta
Book
Purchase + Subscription
3000 TZS
Ufuta ni moja ya mazao muhimu ya mbegu za mafuta. Hustawishwa kwa ajili ya chakula na biashara. Asili yake ni Afrika Mashariki. Hapa nchini asilimia 75 ya ufuta wote unaozalishwa hulimwa na wakulima wa mikoa ya Lindi, M…
About This Content
Ufuta ni moja ya mazao muhimu ya mbegu za mafuta. Hustawishwa kwa ajili ya chakula na biashara. Asili yake ni Afrika Mashariki. Hapa nchini asilimia 75 ya ufuta wote unaozalishwa hulimwa na wakulima wa mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma. Asilimia 25 inayosalia huchangiwa na mikoa ya Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga, Rukwa, Mbeya na kiasi kidogo katika mikoa iliyosalia.
Publication Details
| Category | Agriculture |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-07-040-4 |
| Date Published | 2026-08-07 |
| Publication Year | 2026 |
| Pages | 33 |
| Chapters | 6 |
| Language | Swahili |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader