ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

Huu ni Mchezo Gani?

by Serapion Karoli
Book Purchase + Subscription 2000 TZS
Huu ni Mchezo Gani?
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 06, 2026

Huu ni Mchezo Gani?

by Serapion Karoli
Book Purchase + Subscription 2000 TZS

Kalamu ya Lili ni hadithi fupi inayowahusu wanafunzi watatu wa shule ya msingi na mwalimu wao. Wanafunzi hao ni Lili, Kindi na Karimu. Hadithi inaanza kwa Lili kupewa pesa na baba yake za kununulia kalamu. Anaenda s…

About This Content

Kalamu ya Lili ni hadithi fupi inayowahusu wanafunzi watatu wa shule ya msingi na mwalimu wao. Wanafunzi hao ni Lili, Kindi na Karimu. Hadithi inaanza kwa Lili kupewa pesa na baba yake za kununulia kalamu. Anaenda shuleni. Wakati wa mapumziko ya asubuhi anauacha mfuko wake wenye kalamu yake darasani. Akiwa nje, Kindi anarudi darasani na kufungua mfuko wa Lili na kuiba ile kalamu. Anaificha chini ya mwembe. Wakati akiificha Karimu alimwona. Kwa wakati muafaka Karimu anaiba na kuificha kwenye mtaro. Baadaye Karimu akaenda kuichukua. Wakati akiichukua Kindi alimwona na zogo kubwa likaanza.

Publication Details

Categories HADITHI FUPI ZA WATOTO NA VIJANA, VITABU VYA WATOTO VYENYE MICHORO
Publisher TEPU
ISBN 978-9-987-67133-5
Date Published 2019-05-27
Publication Year 2019
Pages 40
Chapters 1
Language Swahili
Keywords kids, Young Adult
Academic Yes
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content