Heko Rais Magufuli
Heko Rais Magufuli
Kitabu hiki, Heko Rais Magufuli, ni ushairi ambao, kimsingi, ni kama barua ya wazi ya mwandishi kwa Rais John Pombe Magufuli. Kama alivyouelezea Mhe. Pius Msekwa kwenye DIBAJI ya kitabu hiki, mwandishi anaonyesha kuridh…
About This Content
Kitabu hiki, Heko Rais Magufuli, ni ushairi ambao, kimsingi, ni kama barua ya wazi ya mwandishi kwa Rais John Pombe Magufuli. Kama alivyouelezea Mhe. Pius Msekwa kwenye DIBAJI ya kitabu hiki, mwandishi anaonyesha kuridhishwa na kutambua kazi nzuri anayoifanya rais. Kitabu kinaeleza juhudi, kujitoa mhanga kwake na mikakati ya Rais Magufuli katika kipindi hiki ambapo Tanzania ni moja ya nchi tano zenye uchumi unaokua kwa kasi barani Afrika. Cha mno, kitabu kinaangalia mambo muhimu kama vile, kubana matumizi, kurejesha nidhamu katika utumishi wa umma, kukusanya kodi, uwajibikaji, kufufua shirika la Ndege la Tanzania, kujenga reli ya kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR), barabara, madaraja, vivuko vya juu, kutoa elimu ya msingi na sekondari bure sambamba na upatikanaji wa mikopo kwa ajili ya elimu ya juu bila kusahau kupambana na matumizi mabaya ya fedha na mali za umma, ufisadi na kupunguza mshahara wake n.k. ambavyo vyote vinafanywa kwa vitendo.
Publication Details
| Category | Siasa |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-07-091-6 |
| Publication Year | 2018 |
| Pages | 136 |
| Chapters | 13 |
| Language | Swahili |
| Keywords | heko rais Magufuli |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader