HAKI ZANGU MBELE YA POLISI
HAKI ZANGU MBELE YA POLISI
Kwa kutumia njia ya Maswali na Majibu anamsaidia Mwananchi kuelewa sheria na haki zake pale anapokutana na polisi, kwani atafahamu namna mtuhumiwa anavyokamatwa, utaratibu wa kumpekua, kumhoji, kukamata gari na kulipish…
About This Content
Kwa kutumia njia ya Maswali na Majibu anamsaidia Mwananchi kuelewa sheria na haki zake pale anapokutana na polisi, kwani atafahamu namna mtuhumiwa anavyokamatwa, utaratibu wa kumpekua, kumhoji, kukamata gari na kulipisha faini, utaratibu wa kudai haki kama Ofisa wa Polisi amesababisha madhara kwako, orodha ya makosa yanayoweza kukamatwa bila hati ya kukamata na mengineyo. Kuelewa huko kutamsaidia mwananchi kuwa na amani wakati atakapokutana na polisi mahali popote. Zaidi ya hayo, mwandishi amefanya makusudi kurejea na kunukuu vifungu vya sheria ili kumsaidia ama polisi au raia kuwa na uhakika wa kile anachosoma. Ni mategemeo ya mwandishi kuwa, makundi haya yatazidi kuimarisha uhusiano wao kwa lengo la kulinda usalama na mali ya wananchi kwa maendeleo ya jamii yetu.
Publication Details
| Category | SHERIA ZA TANZANIA, UMILIKI WA ARIDHI NA HAKI ZA WANANCHI |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9-987-42632-4 |
| Date Published | 2026-08-06 |
| Publication Year | 2014 |
| Pages | 102 |
| Chapters | 70 |
| Language | Swahili |
| Keywords | HAKI |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader