HAKI ZA WATOTO NA WAZAZI PAMOJA NA MAKOSA YA KUJAMIIANA
HAKI ZA WATOTO NA WAZAZI PAMOJA NA MAKOSA YA KUJAMIIANA
Watoto hawakujileta duniani. Wameletwa na wazazi wao. Kama msemo ulivyo, kazi si kuzaa, bali kuwatunza vizuri watoto tulio-wazaa na kuwapatia haki zao. Haki hizo ni pamoja na kutunza vizuri mimba zao, kuzaliwa sala…
About This Content
Watoto hawakujileta duniani. Wameletwa na wazazi wao. Kama msemo ulivyo, kazi si kuzaa, bali kuwatunza vizuri watoto tulio-wazaa na kuwapatia haki zao. Haki hizo ni pamoja na kutunza vizuri mimba zao, kuzaliwa salama, kupewa matunzo mazuri wanayoyastahili, kama vile, kupewa chanjo zote, lishe nzuri, matibabu yanayotakiwa, kupewa elimu nzuri, kutofanyiwa vitendo vya kikatili, kupewa fursa ya kucheza, kupendwa, kupewa mavazi na kupewa mahali pazuri pa kuishi n.k Katika kitabu hiki, mwandishi (pichani) anaelezea vizuri na kwa ufasaha, kwa njia ya Maswali na Majibu, Haki za Watoto na Wazazi pamoja na Makosa ya Kujamiiana. Hiki ni kitabu kizuri sana na muhimu kwa Watoto, Wazazi, Walezi, Mahakimu, Mawakili, Viongozi na Wanaharakati wa Haki za Watoto nchini. Kisomeni ili kujipatia elimu iliyomo.
Publication Details
| Category | SHERIA ZA TANZANIA, UMILIKI WA ARIDHI NA HAKI ZA WANANCHI |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9-987-07087-9 |
| Date Published | 2026-08-06 |
| Publication Year | 2018 |
| Pages | 112 |
| Chapters | 5 |
| Language | Swahili |
| Keywords | HAKI |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader