ELM-DIGITAL LIBRARY
Book

HAKI ZA MWALIMU TANZANIA

by Al-Muswadiku K. Chamani
Book Purchase + Subscription 2500 TZS
HAKI ZA MWALIMU TANZANIA
Type Book
Access Purchase + Subscription
Language Swahili
Published Aug 06, 2026

HAKI ZA MWALIMU TANZANIA

by Al-Muswadiku K. Chamani
Book Purchase + Subscription 2500 TZS

Kitabu hiki kimeonyesha baadhi ya sheria za Tanzania Bara ambazo ni za msaada kwa Mwalimu kwa ajili ya kutekeleza Wajibu wake wakati anadai Haki zake na kupata haki wakati anawajibika. Mwalimu, kama raia mwema, anap…

About This Content

Kitabu hiki kimeonyesha baadhi ya sheria za Tanzania Bara ambazo ni za msaada kwa Mwalimu kwa ajili ya kutekeleza Wajibu wake wakati anadai Haki zake na kupata haki wakati anawajibika. Mwalimu, kama raia mwema, anapaswa kufahamu sheria zote za nchi zinazomuhusu na kuzilinda. Kitabu hiki kitakuwa kama kichocheo cha kumshawishi mwalimu na watu wengine kuwa na tabia ya kusaka sheria za nchi kwa lengo la kuzijua na kutimiza wajibu wao kwa manufaa ya nchi yetu. Kwa sehemu kubwa sheria hizi zinahusu walimu walioajiriwa na serikali na baadhi yake zinawahusu walimu walioajiriwa katika taasisi binafsi. Kitabu hiki kimetumia mtindo wa maswali na majibu kwa lengo la kurahisisha kufikisha ujuzi kwa walengwa pamoja na kupunguza maelezo mengi katika kuelezea jambo hilo. Lengo la kitabu hiki litakuwa limefikiwa iwapo walengwa wataendeleza tabia ya kutafuta sheria na kanuni mbalimbali kwa ajili ya kufanikisha wajibu wao na kupata haki wanazostahili. Wakati kitabu hiki kinaandikwa, sheria nilizorejea ndivyo zilivyokuwa zinatumika, lakini, kwa kuwa sheria huwa zinabadilika kutegemea mazingira yaliyopo, basi, ni vyema wasomaji wajizoeze kuwa wadadisi na watafiti zaidi kwa kwenda na wakati, kwa kuzijua sheria zilizopo

Publication Details

Category SHERIA ZA TANZANIA, UMILIKI WA ARIDHI NA HAKI ZA WANANCHI
Publisher TEPU
ISBN 978-9-987-07004-6
Date Published 2026-08-06
Publication Year 2014
Pages 141
Chapters 5
Language Swahili
Keywords HAKI
Academic No
Visibility Public
Formats PDF

Reading Access

Purchase or subscribe to unlock this content.

Open Reader

Share & engage

No ratings yet — be the first.
Your rating
Comments

No comments yet.

Report this content