HAKI ZA MADEREVA, ABIRIA NA POLISI BARABARANI
HAKI ZA MADEREVA, ABIRIA NA POLISI BARABARANI
Jina la kitabu hiki linastahili liwe “Haki na Wajibu wa Madereva, Abiria na Polisi Barabarani kwa mujibu wa sheria na kanuni.” Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu iliyochapishwa na Oxford University Press, maana ya…
About This Content
Jina la kitabu hiki linastahili liwe “Haki na Wajibu wa Madereva, Abiria na Polisi Barabarani kwa mujibu wa sheria na kanuni.” Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili Sanifu iliyochapishwa na Oxford University Press, maana ya neno dereva ni mwendeshaji wa vyombo vinavyosafiri nchi kavu, kama vile trekta, treni, motokaa, pikipiki na baiskeli; neno abiria lina maana ya mtu anayesafiri kwa chombo chochote cha usafiri na neno polisi lina maana ya askari mwenye dhamana ya kuona kuwa sheria na usalama wa nchi hauvunjwi. Kwa upande mwingine, hakuna mtu mzima ambaye hajawahi kuwa abiria au anayeweza kusema kuwa hatakuwa abiria maishani mwake.
Publication Details
| Category | SHERIA ZA TANZANIA, UMILIKI WA ARIDHI NA HAKI ZA WANANCHI |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9-987-07048-0 |
| Date Published | 2026-08-06 |
| Publication Year | 2013 |
| Pages | 195 |
| Chapters | 50 |
| Language | Swahili |
| Keywords | SHERIA |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader