HAKI N A KERO ZA MAHAKAMANI
HAKI N A KERO ZA MAHAKAMANI
Kitabu kina maswali 63 na majibu yake, yakiwa katika sura sita zifuatazo: Ajira na Mamlaka ya Hakimu Wajibu wa Hakimu Malalamiko dhidi ya Mienendo ya Mahakimu. Maboresho ya Utoaji Huduma katika Mahakama Wajibu wa Ser…
About This Content
Kitabu kina maswali 63 na majibu yake, yakiwa katika sura sita zifuatazo: Ajira na Mamlaka ya Hakimu Wajibu wa Hakimu Malalamiko dhidi ya Mienendo ya Mahakimu. Maboresho ya Utoaji Huduma katika Mahakama Wajibu wa Serikali na Jamii kwa Mahakama. Mapendekezo ya Kuboresha Utoaji Haki Mahakamani Kwa kutumia uzoefu kama wakili, mwalimu na msomi wa sheria, mwandishi amerejea na kunukuu sehemu muhimu za vitabu vya sheria 8, Sheria 6, Nyaraka mbalimbali 4 na kesi 40 ili kujenga, kuimarisha na kutetea hoja yake juu ya Haki na Kero Mahakamani. Kwa vile kuna uwezekano mtu yeyote siku moja kujikuta yuko mbele ya Hakimu mahakamani, ni busara kusoma kitabu hiki. Ni matumaini yetu kuwa kwa wananchi na walengwa (baadhi ya mahakimu wanaotekeleza majukumu yao bila kuzingatia sheria) baada ya kukisoma, hapatakuwapo tena kero Mahakamani.
Publication Details
| Category | SHERIA ZA TANZANIA, UMILIKI WA ARIDHI NA HAKI ZA WANANCHI |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9-987-42640-9 |
| Date Published | 2026-08-06 |
| Publication Year | 2015 |
| Pages | 142 |
| Chapters | 6 |
| Language | Swahili |
| Keywords | sheria |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader