Fahari ya Macho
Fahari ya Macho
Fahari ya Macho ni kitabu cha hadithi kinachoelezea mada kuhusu upinde wa mvua. Mwandishi ameandika hadithi hii katika mazingira ya wakazi wanaothamini sana na kula wadudu waitwao Senene na huku watoto wen…
About This Content
Fahari ya Macho ni kitabu cha hadithi kinachoelezea mada kuhusu upinde wa mvua. Mwandishi ameandika hadithi hii katika mazingira ya wakazi wanaothamini sana na kula wadudu waitwao Senene na huku watoto wengi wakiimba wimbo wakisifu wadudu hao. Baadaye katika hadithi hii, watoto watatu wanachomoza. Hao ni Musa, John na Sala. wao wanashindana katika katika kukamata idadi kubwa ya senene. Shindano hili linaisha baada ya kuona upinde wa mvua. Mabishano ya utafiti baina yao na wanakijiji kuhusu maana na umuhimu wa upinde wa mvua yanaamuliwa na Mwalimu Ndaki na Mwalimu Mage. Kwa maelezo zaidi soma kitabu chenyewe.
Publication Details
| Categories | Fiction, HADITHI FUPI ZA WATOTO NA VIJANA |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9987-67-122-9 |
| Date Published | 2018-02-03 |
| Publication Year | 2018 |
| Pages | 27 |
| Chapters | 3 |
| Language | Swahili |
| Keywords | kids |
| Academic | Yes |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader