DHULUMA YA HAKI
DHULUMA YA HAKI
Riwaya hii imelenga watu wote, hasa, vijana na viongozi. Lengo kuu la riwaya hii ni kuionyesha jamii yetu ya kiafrika, jinsi baadhi ya viongozi wanavyotumia madaraka vibaya na madhara yake. H naonyesha kuwa, ngawa m…
About This Content
Riwaya hii imelenga watu wote, hasa, vijana na viongozi. Lengo kuu la riwaya hii ni kuionyesha jamii yetu ya kiafrika, jinsi baadhi ya viongozi wanavyotumia madaraka vibaya na madhara yake. H naonyesha kuwa, ngawa mtu mwenye madaraka makubwa ana uwezo wa kudhulumu haki za wanyonge, ijulikane wazi kuwa, dhuluma ina mwisho, na ni lazima iwe na mwisho. Wananchi wanyongwe, hawawezi kudhulumiwa milele. Iko siku udhulumaji wa hak utakomeshwa kat ka nch zetu. Iko s ku wanyongwe watakataa kuendelea kudhulumiwa haki zao.
Publication Details
| Category | Riwaya |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9-987-07072-5 |
| Date Published | 2023-06-13 |
| Publication Year | 2023 |
| Pages | 85 |
| Chapters | 6 |
| Language | Swahili |
| Keywords | utawala |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader