Ahadi Yangu
Ahadi Yangu
Ahadi Yangu ni riwaya inayohusu simulizi ya mapenzi yaliyoahidiwa kwa dhati na vijana wawili. Mapenzi hayo yalizimwa na ukali wa maisha na ukatili. Ni hadithi ya kumbukumbu, masikitiko, na maswali, ‘Kwanini imekuwa …
About This Content
Ahadi Yangu ni riwaya inayohusu simulizi ya mapenzi yaliyoahidiwa kwa dhati na vijana wawili. Mapenzi hayo yalizimwa na ukali wa maisha na ukatili. Ni hadithi ya kumbukumbu, masikitiko, na maswali, ‘Kwanini imekuwa hivyo?’, ‘Je, itakuwaje?” Hii ni simulizi ya Shose na Kizito, wapenzi waliounganishwa na ndoto ya upendo wa kweli, mioyo yao ilishikamana kana kwamba ilikuwa imeandikwa kabla ya wakati. Walipendana kwa dhati, na si kwa maneno tu bali kwa matendo yaliyovuka mipaka.
Publication Details
| Category | Riwaya |
| Publisher | TEPU |
| ISBN | 978-9-976-58498-1 |
| Date Published | 2026-02-10 |
| Publication Year | 2026 |
| Pages | 195 |
| Chapters | 17 |
| Language | Swahili |
| Keywords | Hadithi, Riwaya, Mapenzi |
| Academic | No |
| Visibility | Public |
| Formats |
Reading Access
Purchase or subscribe to unlock this content.
Open Reader